Header Ads


WABABE WA YANGA WAWASILI DAR

 
Mabingwa wa Shelisheli, St Louis wametua nchini kimyakimya tayari kuwakabili Yanga.
Kikosi hicho tayari kimeanza kujiandaa na mechi hiyo kwa kufanya mazoezi jijini Dar es Salaam.
Mabingwa hao wa Shelisheli wanaamini kufika mapema nchini ni kupata nafasi ya kuzoea vizuri mazingira na hali ya hewa ya Tanzania.
Timu hiyo itashuka dimbani Jumamosi, kuwavaa Yanga katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

No comments

Powered by Blogger.