MKUTANO WA VIONGOZI WA UMOJA WA VYAMA VYA KIDEMOKRASIA DUNIANI(IDU)
ACCRA-GHANA
katibu nkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo(chadema)Dokta vicent mashinji (kushoto) akifuatilia mjadala katika mkutano wa viongozi wa umoja wa vyama vya kidemokrasia Duniani(IDU)unaoendelea mjini Accra,Ghana.
Wanaofuatia kushoto kwa doktamashinji ni meneja wa masuala ya sera chama cha conservative cha uingereza,john hayward,mkurugenzi wa mambo ya nje wa chama cha conservative na mwakilishi wa chama cha republican cha marekani,chris fussner.
Post a Comment