Header Ads


HATIMAYE JOE HART AKAMILISHA USAJILI WAKE WESTHAM



 Joe Hart ametua West Ham akiwa amerejea Ligi Kuu England na kusema ana furaha kubwa kwa kuwa alikuwa akiipenda klabu hiyo.

Manchester City ilimpeleka Hart kwa mkopo katika klabu ya Torino nchini Italia.
 

Lakini sasa amerejea England na kujiunga na West Ham United kwa mkataba wa mkopo na mwishoni mwa msimu huu, West Ham itakuwa na nafasi ya kumsajili moja kwa moja kama itahitaji kufanya hivyo.

No comments

Powered by Blogger.