FEDERER APANDA KWA VIWANGO VYA UBORA TENIS DUNIA
Mshindi wa taji la Wimbedon Roger
Federer amepanda kwenye viwango vya ubora wa mchezo huo kutoka nafasi ya tano
mpaka nafasi ya tatu
Mwingereza Andy Murray anaendelea
kuwa kinara katika nafasi ya kwanza, Rafael Nadali akifuatia katika nafasi ya
pili, Novak Djokovic ni namba nne kwa ubora, huku Stan Wawrinka akiwa katika
nafasi ya tano.
Kwa upande wa wanawake Karolina
Pliskova ndie kinara akifuatiwa na Simona Halep
Mjerumani Angelique Kerber yuko
katika nafasi ya tatu na Johanna Konta akishika nafasi ya nne na Garbine
Muguruza anakamilisha tano bora .
Post a Comment