TCRA YAZIFUNGIA NYIMBO ZA WASANII 15
Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea list ya nyimbo 15 zisizokuwa na
maadili kutoka kwa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).
Nyimbo
hizo ziliachiwa na wasanii katika vyombo vya habari pamoja na mitandao
ya kijamii bila kupitishwa katika mamlaka husika kwaajili ya kuzikagua
na baadaye kuiachia zipigwe.
Post a Comment