Header Ads


DADI IGOGO DIWANI WA GANGILONGA NA NAIBU MEYA WA MANISPAA YA IRINGA ATANGAZA KUJIUZULU



IRINGA
Taarifa ambazo zimethibitishwa rasmi na meya wa manispaa ya Iringa mkoani Iringa hii leo ni kuwa diwani wa kata ya gangilonga ambaye pia ni naibu meya wa manispaa hiyo amejiuzulu nafasi ya unaibu meya hii leo.

awali kwenye machaoisho kadhaa ya Dady Igogo imeonekana kulalamika kuhusiana na madai ya shambulizi alilofanyiwa jana la kupigwa na watu wasiofahamika na bado haijathibitika rasmi kama ndicho kilichosababisha kuamua kujivua nafasi ya unaibu meya.

Igogo ametumikia nafasi hiyo chini ya mieizi sita mara baada ya kuchukua nafasi ya nzala lyata aliyeamua kujivua uanachama na kutimkia chama cha mapinduzi

No comments

Powered by Blogger.