Header Ads


BREKING NEWS: MTULIA AMETANGAZWA KUWA MSHINDI JIMBO LA KINONDONI


Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia ameshinda Uchaguzi mdogo uliofanyika jana. Maulid Mtulia Amepata kura 30, 247 dhidi ya Mgombea wa Chadema Aliyepata kura 12, 353.

No comments

Powered by Blogger.