ZAIDI YA WATU WATANO WANANCHI WA KATA YA HEZYA WILAYANI MBOZI MKOANI SONGWE WAMEKIMBIA MAKAZI YAO NA KUTOKOMEA KUSIKO JULIKANA KWA KUHOFIA USALAMA WAO
Baadhi ya
wananchi wa kijiji cha namwangwa kata ya hezya lwitiko mgaya na yangsoni
simbeye wamelani kitendo hicho na
kulalamikia wananchi wa kijiji cha hezya kuwa ndio wanao waharibu watoto wao
kwa kuwa sekondari hiyoipo kwenye kijiji hicho cha hezya .
Mmoja wa
walezi wa wanafunzi hao fainesi kibona amekili kuhalibikiwa mtoto wake
Christina mlingu mwanafunzi wa kidato
cha tatu na kusema kuwa watoto hao
wamekuwa wakipewa ujauzito na kutelekezwa na wakati mwingine kutokomea
nao kusiko julikana na kuwaacha wazazi katika hali ya sitofahamu.
Afisa elimu kata ya hezya Juliana mwaghamba
amesemakuwa zaidi yawatu 5 wamekimbia makazi yao huku wakiwa hawajulikani
walipo na wengine kukimbia na wanaume ili kupoteza ushahidi.
Wile mkondya
diwani wa kata ya hezya amesema kuwa wate walio wapatiwa mimba wanafunzi ambapo
ametoa onyo kwa yeyote ataklaye fanya kitendo hicho atachukuliwasheria kali
popote alipo atatafutwa ili iwe fundisho kwa wengine .
Mbunge
wajimbo la vwawa japheti hasunga ametoa onyo kali kwa wote wanao fanya vitendo
hivyo kuacha mara atakaye kamatwa adhabu yake ni miaka 30 jela lakini pia
wazazi na wale wote wanaohusika kushawishi kuozesha wanafunzi adhabu yake ni
miaka mitano jela au faini ya milioni
tano ili iwe fundisho kwa wengine .
Post a Comment