CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU KATIKA WILAYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA KIMEANDAA RIGI YA WILAYA
KALAMBO-RUKWA
CHAMA cha mpira
wa miguu katika wilaya ya kalambo
mkoani Rukwa kimeandaa rigi
ya wilaya na kushirikisha
timu mbalimbali lengo likwa
ni kupata wachezaji ambao wataunda
timu moja ya wilaya na hatimaye
kuiwasha kwenye michezo mbalimbali ambayo
itakuwa ikifanyika ndani na nje ya
mkoa huo.
Hatua hiyo
inakuja baada ya wilaya hiyo
kuadhimia kuunda timu moja ya
wilaya lengo likiwa kuwawezesha
vijana kuongeza vipaji vyao sambamba
na wengine kujiajili wenyewe kupitia michezo.
Makamu mwenyekiti wa chama cha mpira mkoani Rukwa ambae pia ni mwenyekiti wa chama mpira wilayahi hapa, Edrue manjema ngindo, amekimbaia kituo hiki kuwa licha hilo pia kupitia michezo hiyo wanatarajia kupata vijana ambao watashiriki kwenye ligi ya mkoa ambayo itaanza mapema mwezi wa 10 . 2017 na kuwa tayari vilabu 10 vimekwisha kujisajiri .
Hata hivyo siku
za hivi karibu mkuu wa wilaya
hiyo julith Bimnyura , alikiambia
kituo hiki kuwa uanzishwaji wa timu
ya wilaya utawezesha vijana kuitangaza
wilaya na mkoa kwa ujumla.
Post a Comment