#Picha Tajiri wa dunia, Bill Gates mapema leo ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza, mkoani Tanga na kujifunza na kuangalia jinsi zoezi la ugawaji dawa za matende na mabusha linavyofanyika nchini ikiwa ni jitihada za kutokomeza magonjwa yasiyopewa kipaumbele nchini.
Post a Comment