waziri mkuu wa tanzania anatarajiwa kuwa na ziara katika mkoa wa songwe huku akitembelea wilaya zote za mkoa huo atakapo anza tarehe 20.7.2017 na kuhitimisha 24.7.2017 kwa kufanya majumuishomjini vwawa wilaya ya mbozi.
Zefrine Machesha Ni Mwandishi wa Habari Mwandamizi (Senior Journalist) na mliki wa mtandao DIRATZ NEWS Amejikita kwenye Habari za Siasa,Sayansi, Michezo na Burudani. Kama una Habari ama tukio kwa ajili ya kuripotiwa katika mtandao huu wa DIRATZ NEWS unaweza kututumia kwa WhatsApp No +255717 097671 au Email: diratznews@gmail.com
Post a Comment