Karatasi zote za kura kuwasili nchini kenya kufikia Agosti 3
Tume huru ya uchaguzi na mipaka imewahakikishia wakenya kwamba karatasi zote za kupigia kura zitakuwa humu nchini ifikiapo Agosti 3 liwe liwalo.
Kamishna Roselyn Akombe anasema tume imepokea karatasi za ugavana za kaunti 41 pekee huku zilizosalia zikitarajiwa baadaye juma hili na kuwa uchaguzi utafanyika tarehe nane Agosti ilivyopangwa.
Haya yakijiri wakati mgombea urais wa NASA Raila Odinga akilalamikia jinsi tume ya IEBC inavyojiandaa kwa uchaguzi.
Post a Comment