WENGI WAJITOKEZA KUSHUHUDIA KUHAPISHWA KWA ODINGA
Raila awasili Uhuru Park tayari kuapishwa
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo Bwana Raila Odinga amesisitiza kwamba bado ataapishwa leo kama rais wa nchi hiyo, huku serikali ikifungia baadhi ya vituo vya habari vilivyokuwa vinapeperusha matangazo moja kwa moja.
Wengi wajitokeza kushuhudia Odinga 'akila kiapo'
Baada ya polisi kuondoka uwanja wa Uhuru Park, wafuasi wa upinzani walianza kuingia kwa wingi na kwa sasa maelfu wamo ndani.Hizi hapa ni baadhi ya picha za hali ilivyo sasa:
SOURCE:BBC SWAHILI



Post a Comment