WANANCHI MKOANI SONGWE WATAKIWA KUACHA MARA MOJA TABIA YA KUPANDA MAGARI AINA YA MALORI
MBOZI-SONGWE
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Songwe Mathiasi
Lucas Njange ametoa kauli hiyo kwenye kikao cha bodi ya barabara iliyofanyika mwishoni
mwa wiki katika ukumbi wa halmashauri ya mbozi .
Nyange ameongeza kuwa ni Marufuku kwa Wananchi kupanda Maroli kwani sheria inakataza wananchi kupanda magari hayo na pia ni hatarishi kwa maisha yao .
kwa upande wake afisa mfawidhi Sumatra mkoa wa
songwe faith ntukamazina amesema kuwa maroli yapo kwa ajili ya mizigo na sio
kusafirisha abilia na atakaye fanya kinyume na hapo sheria zitachukuliwa dhidi
yake .
Post a Comment