ZANZIBAR KUJIPANGA KWA RIADHA
Mwenyekiti wa chama cha Riadha Zanzibar Abdull-Hakim Kosmasi
Chasama amesema wanajukumu kubwa la kuuanda mashindano mbali mbali kwa ajili ya
kuwasiada wanariadha kuwa na uzoefu wa kutosha.
Chasama amesema kwa kuzingatia jukumu hilo tayari wameandaa
michuano ya Marathon itakayofanyika August 26 kisiwani Zanzibar.
Hata
hivyo Chasama akaweza wazi vigezo ambavyo vitawawezesha wanariadha kushiriki
michuano huyo ya Marathon itakayofanyika kisiwani Unguja mwezi ujao.
Post a Comment