RAISI KENYATA KUONGOZA KAMPENI ZA JUBILEE MULANGA
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto |
Rais Uhuru
Kenyatta leo ataongoza kampeni za chama cha Jubilee katika kaunti ya Muranga.
Rais Kenyatta pamoja na naibu wake William Ruto wanatarajiwa kutumia mikutano
hiyo kuwarai wakazi kuunga mkono Jubilee kikamilifu katika uchaguzi mkuu ujao..
Uhuru na Ruto pia wanazuru kaunti za Nandi, Kakamega, Vihiga,Nakuru,Baringo na
Nyeri
Post a Comment