Header Ads


NASA KUENDELEA NA KAMPENI ZAKE MAENEO YA EMBU,THARAKA NITHI NA MERU LEO


vigogo wa NASA


Muungano wa NASA leo unaelekeza kampeni ya kusaka kura katika kaunti za Tharaka Nithi, Embu na Meru. Mgombea urais Raila Odinga anatarajiwa kuhutibia mkutano wa kwanza wa kisiasa katika eneo la Runyenjes kaunti ya Embu. Baadaye ameratibiwa kuelekea Tharaka Nithi ambako atahutubia mkutano mwengine. Raila atakamilisha ziara yake kaunti ya Meru kwa kuhutubia wananchi katika maeneo ya makutano, kianje, soko la Muthara, Kangeta na Lare.

No comments

Powered by Blogger.