Header Ads


Raila Kushuhudia Mechi Ya Kirafiki Kati Ya Gor Na Everton



 KENYA
Kinara wa muungano wa NASA Raila Odinga anatarajiwa kushuhudia mechi ya kirafiki kati ya Gor Mahia na Everton nchini Tanzania
Mtanange huo wa kirafiki utasakatiwa katika uga wa Benjamin Mkapa nchini Tanzania uga ambao unakubali mashabiki 60,000.

Vijana hao wa K’Ogalo watapata fursa ya kucheza dhidi ya mchezaji nguli wa uingereza Wayne Rooney ambaye alikamilisha kujiunga na kilabu yake hiyo ya zamani ya Everton na ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha Everton.
Wachezaji 33 wameondoka humu nchini kwenda nchi jirani ya Tanzania kwa ajili ya kipute hicho na watakua chini ya mkufunzi mptya muingereza Dylan Kerr

No comments

Powered by Blogger.