SPURS YAICHOMOLEA ZOTE MBILI JUVENTUS TORINO, SARE 2-2 ,GUNDOGAN APIGA MBILI MAN CITY YASHINDA 4-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA
Mshambuliaji
wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia bao la
kwanza timu yake dakika ya 35 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Juventus
kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa
jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao lingine la la Spurs lilifungwa na Christian Eriksen dakika ya 71, baada ya Juventus kutangulia kwa mabao ya Gonzalo Higuain dakika ya pili na ya tisa
Post a Comment