wazili mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kasimu majaliwa ameagiza watumishi wa serikali kuacha maramoja tabia ya kuwacheleweshea huduma wananchi.
Majaliwa amesema hayo kwenye ziara Yake mkoani songwe ambapo ambapo ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 8 za atumishi zilizojengwa na shilika la nyumba taifa katika kijiji cha tindingoma wilayani momba mkoan hapa.
Majaliwa amesema kuwa watumishi wengi wamekuwa wakiwacheleweshea huduma wananchi na kuwapatia usumbufu mwingi hali inayopelekea uwepo wa rushwa miongoni mwao ambapo ametoa onyo kali kwa watumishi wa serikali wenye tabia hiyo kuacha maramoja.
Mmoja wananchi andre sinkala amesema kuwa wameshukuru ujio wa wazir mkuu kwani itakuwa chaachu ya maendeleo katka kijiji tindingoma kata ya chhitete ilayani momba mkoani hapa kwa wananchi na watumishi wa umma.
Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa songwe chiku galawa amepokea ahadi ya wazir mkuu kwa mikono miwili ujenzi wa barabara ya rami kwa kiwango cha rami kutoka kamsamba mpaka mlowo kwa kiwango cha rami na kwamba milioni miambili zimeshatolewa na ujenzi utaanza mda wowote kuanzia sasa.
Post a Comment