WAZILI MKUU AAGIZA WOTE WALIOJENGA KALIBU NA MPAKA WA TANZANIA NA ZAMBIA KUHAMA MARA MOJA
Momba
Wazili mkuu wa jamhuri ya muungano wa
Tanzania kasimu majaliwa ameagiza kuwa baada miezi mitatu kwa wananchi wote
waliojenga makazi yao karbu na mpaka wa Tanzania na Zanzimbia mita hamsini kwa
kila nchi .
Majaliwa
ametoa agizo hilo baada ya kutembelea mpaka wa Tanzania na Zambia uliopo
tunduma wakati wa ziara yake mkoani songwe ikiwa ni siku ya pili ambapo
ameshangazwa kukuta wananchi wamejenga
makazi katika eneo la hifadhi ya mpaka huo na kuwataka wahame mara moja .
Wananchi wa
halimashauri ya tunduma wamemshukuru waziri mkuu kwa kumpa mkandalasi wa
barabara hiyo kwa muda wa miezi miwili iwe imeisha ili kuondoa kero iliyopo
tunduma kwani inakwamisha shughuli nyingi za maendeleo kutokana hiyo
kutokamilika kwa mda mrefu.
Mbunge wa
jimbo la tunduma frenk mwakajoka
ameshukuru waziri mkuu kubadili fedha zilizokuwa zinatakiwa kujenga ofisi ya
mkurugenzi na badala yake zikajenge hospitar ya harimashauri ya tunduma ili
kuwapunguzia adha wananchi hususani
akina mama na wazee.,
Post a Comment