RUKWA KUFUFUA ZAO LA KAHAWA
RUKWA
MKUU wa
mkoa wa Rukwa Joachim
Wangambo amesema serikali
inategemea kulifufua upya zao
la kahawa ikiwa ni
dhana ya kuwawezesha wananchi kujikwamua
na hali ya
kiuchumi na kuwagiza
wakurugenzi wa halamashauri tofauti
kuwa karibu na
vyama vya ushirika.
Ameyasema hayo
wakati wa mkutano
wa hadhara ulifanyika
katika kijiji cha Mambwekeya
wilaya ya kalambo
mkoani hapa , ambapo amesema maafisa
ushirika wanatakiwa kuwa
karibu na vyama
vua ushirika kwa kuakaa vikao
mbalimbali pamoja
na kutoa elimu
mbalimbali pamoja na kuwaondolea bchanagamoto zinazo wakabili.
Amesema vyama
vingi vya ushirika
vimekuwa vikifa kutokana na
viongozi husika kuwa mbali
na vyama hivyo na kuwataka wananachi
kujenga mazoea ya
kuhoji kupintia uongozi husika
pindi mambo yao
yanapookwenda mlamaya.
Mkuu wa
wilaya ya kalambo
Julith Binyura amewataka
wananchi kuendelea kutunza
mazingira kwa kupanda
kwa wingi ambayo
itasaidia kuondokana na ukame.
Post a Comment