WANASIASA NJOMBE WAONYWA KUWAZUIA WANANCHI KWENDA KUFANYA MAFUNZO YA MGAMBO
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri |
NJOMBE
Wanasiasa wanao wazuia wananchi
kwenda kufanya mafunzo ya Mgambo wameonywa kufanya hivyo maana elimu hiyo itawasaidia
vijana kupata elimu ambayo itawaingiza katika ajira mbalimbali ikiwemu katika
machimbo ya Liganga na mchichima huku Ludewa.
Ni ovyo kwa wanasiasa linatolewa
katika ufunguzi wa Mafunzo ya Mgambo kwa wilaya ya Njombe Mkoani Njombe
ambayo yanafunguliwa katika kijiji cha Ikondo na hii inakuwa kauli ya
kamanda wao wa wilaya.
Afisa mtendaji wa kijiji cha Ikondo
anasema kuwa idadi ya walio katika mafunzo hayo imepungua mara dufu.
Wakazi wanasema kuwa vijana wa sasa
hawana uzalendo ndio
maana hawaoni umuhimu wa kuwa kaatika jeshi la akiba.
Wiki moja inatolewa kwaajili ya
walio jiunga na kukimbia wahakikishe wanajiunga na wale ambao bado wajiunge ili
kupata mafunzo hayo ambayo hutolewa kila baada ya miaka mingi kupita.
Post a Comment