MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE MKOANI SONGWE HAJI MNASI AMEGOMA KUKABIDHIWA MRADI WA UMWAGILIAJI
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ileje Haji Mnasi |
ILEJE-SONGWE
Mkurugenzi
wa halmashauri ya wilaya ya ileje
mkoani songwe haji mnasi amegoma kukabidhiwa
mradi wa umwagiliaji unaojengwa katika bonde
la Sasenga wilyani humo kwamadai
ya kuto kamilika na kutoa siku 14
kuhakikisha maradi huo unakamilishwa.
Ameyasema hayo wakati
wa ziara ya ukaguzi wa mradi
huo ambao unajenjengwa katika kijiji cha
Mbebe na kusimamiwa na Engener
Richard Robert wilayani humo na kugharimu fedha
kiasi cha shilling billion moja .
Amesema
hawezi kupokea wala kutoa
fedha kwa ajili ya mradi ambao
haujakamilika licha ya Engener
anaesimamia mradi huo kuandika barua
ya kutaka malipo kwa madai ya
mradi kukamilika kitu ambacho si kweli.
Afisa
kilimo na umwagiliaji wilayani humo Herman Njeje pamoja diwani wa
kata hiyo Andrew kalinga wamesema tarifa ya makabidhiano ya mradi haiwezi
kufanikishwa bila kumaliza mkataba wa kazi.
Msimamizi
wa mradi huo engener richad Robard , amkili
kuwepo adha hiyo na kuwa atalipwa
mara baada ya kumaliza kwa mradi huo.
Hali
kadharika endapo wakurugenzi na madiwani
wataendelea kuwa makini sambamba na
kufanya ukaguzi wa mara kwa mra
wa miradi ndani ya halashauri
itafanya wakandaras kufanya kazi kwa
umakini na kuondoa sintofahamu na
malalamimo kutoka kwa wananchi.
Post a Comment