Header Ads


Malinzi na wenzake kuendelea kusota rumande

Dar es Salaam. 
Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu, imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi ya kuomba dhamana  ya Rais wa Shirikisho la Soka (TFF)  Jamal Malinzi na Katibu mkuu Celestine Mwesigwa pamoja na  mkurugenzi wa fedha Nsiende Mwanga hadi  Julai 17.
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri  alisema upande wa utetezi wenyewe wanatambua kuwa mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana.



Watuhumiwa hao wanakabiliwa na kesi ya kughushi nyaraka za serikali pamoja na utakatishaji pesa wamekosa dhamana kwani upelelezi upande wa Jamhuri haujakamilika

No comments

Powered by Blogger.