Header Ads


IEBC yakosolewa kwa kuchapisha karatasi za kupigia kura millioni 1.2 zaidi

IEBC yakosolewa kwa kuchapisha karatasi za kupigia kura millioni 1.2 zaidi
karatasi za kupiga kura

Viongozi wa kisiasa wanaendelea kuikosoa tume ya uchaguzi IEBC kwa kuchapisha karatasi za kupiga kura milioni 1.2 zaidi ya kiwango kilichotarajiwa. Baadhi ya viongozi wa chama cha Jubilee wameunga mkono hatua ya mgombea urais wa chama cha Thirdway Allince Ekuru Aukot kutilia shaka hatua ta hiyo IEBC wakidai haikufaa. Kulingana na seneta maalum Jonhson Sakaja swala hilo linatishia kuondoa imani ya wapiga kura kwa iebc kunadaa uchaguzi wa kuaminika

No comments

Powered by Blogger.