Header Ads




MBOZI-SONGWE

Na. Manuel Kaminyoge
Mkoa wa songwe umekuwa ni mimiongoni mwa mikoa inayoenda na kukua kwa kasi kati ya mikoa 5 mipya nchini Tanzania.
Kauli hiyo imekuja mara baada ya mkuu wa mkoa wa songwe chiku galawa kumkabidhi rasimi mkurugenzi mkuu wa majengo Tanzania eliusi asangalwiswe mwakalinga   eneo la selewa kwa ajili ya ujenzi wa jingo la mkoa .

galawa  amekabidhi eneo hilo la selea likiwa na ukubwa wa hekali 40 ambapo litajengwa jingo ambalo litakuwa na ofisi ya mkuu wa mkoa , ikuru ndogo pamoja na ofisi ya katibu tawala mkoa .
aidha galawa amewashukuru wananchi wa selewa kwa kutoa eneo hilo bila fidia yoyote na kuwataka wananchi wa maeneo mengine kuiga mfano huo .


baadhi ya wananchi wa serewa christofa twembele na chalesi silindu wamesema kuwa wanshukuru kwa ofisi za mkoa kujengwa katika kijiji hicho kwani watapata fusa na huduma mbalimbali kiulahisi.
 Mwakalinga amesema kuwa amepokea kazi hiyo kwa mikono miwili na kuahidi kuwa ndani ya miezi sita atakuwa ameshakamilisha kazi hiyo.


No comments

Powered by Blogger.