TIGO,TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE
Mtaalam wa Kitengo cha Upatikanaji wa Wateja Wapya Tigo, Keneth Ndulute akielezea jambo kwa Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi. James Kilaba. |
Meneja
Mradi wa Biometric wa Tigo, Mohamed Sufian akiwa kwenye banda la Tigo
na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya uzinduzi wa mfumo
mpya wa usajili wa laini za simu.
|
Post a Comment