MBOZI-SONGWE
Taasisi ya
utafiti wa Kahawa kituo cha MBIMBA wilayani MBOZI mkoani SONGWE
(TAKRI) imetoa mafunzo ya siku moja kwa baadhi ya
viongozi na wakulima wa mkoa wa RUKWA kwa ajili ya kuanzisha kilimo cha zao
jipya la biashara.
Akizungumza na Diratznews.blogspot.com wakati wa mafunzo hayo
kaimu meneja wa kituo hicho DISMAS PANGALASI amesema mafunzo hayo
yatawasaidia wakulima wa mkoa wa RUKWA katika kuendesha kilimo cha
kahawa kwa ajili ya kuinua pato lao.
AINES THOBIAS KUTOKA MKOANI SONGWE
ANA TARIFA ZAIDI.
|
CHAZI MWINGILA MTAFITI TAASISI YA
UTAFITI WA KAHAWA (TAKRI)MBOZI |
|
KAIMU MENEJA WA KITUO
CHA UTAFITI WA KAHAWA DISMAS PANGALASI |
|
MASHAMBA YA ZAO LA KAHAWA WILAYANI MBOZI |
Kwa maoni tembelea www.diratznews.blogspot.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0717097671
Post a Comment