WILAYA YA KALAMBO WAANZISHA MAFUNZO YA WANAMGAMBO MKOANI RUKWA
KALAMBO-RUKWA
KATIKA
jitihada za
kuboresha ulizi na
usalama mkoani Rukwa, mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na
usalama katika wilaya ya
kalambo Julith Binyura
amezindua mafunzo ya jeshi
la akiba malfu kama Mngambo na kuwataka
wananchi kushirikina na jeshi hilo
kwa ukaribu zaidi ili kutomeza matukio
ya uharifu kwenye maeneo yao.
Hizo ni nyimbo
zilizo ambatana na gwalide kutoka kwa
wanafunzi wa jeshi la akiba
maalufu kama jeshi la mugambo mbele
ya mwenyekiti wa kamati ya
ulinzi na usalama ya wilaya hiyo ambae
pia ni mkuu wa wilaya hiyo
Julith Binyura wakati wa
ukaguzi wa jeshi hilo.
Awali akifungua mafunzo
hayo mwenyekiti huyo, amesema jeshi
hilo litapata mafunzo mbalimbali
ikiwemo majanga ya moto,
uhamiaji pamoja na mbinu za kivita
na kuwa licha ya hilo
watahusishwa kwenye shughuri mbali za
ulinzi na usalama ndani ya
wilaya.
Amesema watu
ambao watafuzu mazoezi kikamalifu
mpaka kupatiwa vyeti watapatiwa namba
na kuwataka kuvumilia mpaka mwisho wa
mafunzo ili wawezekupatiwa fulsa za
kujiunga na jeshi la kujenga
taifa JKT.
Mshauri wa
jeshi la akiba
wilayani humo Meja Sungura . amesema mafunzo
hayo yalianza julay 10 / 2017 na kuwa
wanafunzi 297 wanaendelea na mafunzo ambapo
kati yao wanaume ni 134 na wanawake
ni 33 na kuwa mafunzo hayo
yanashirikisha watu kutoka maeneo
tofauti ya wilaya hiyo na kuwa
yatachukua muda wa miezi minne mpaka
kukamilika kwake.
Post a Comment