Header Ads


YANGA YATUA SHELESHELI KUWAKABILI ST.LUIS

Mabingwa wa Soka Tanzania, Yanga tayari wametua nchini Shelisheli kwa ajili ya mechi yao ya marejeo dhidi ya St Loiuis.

Katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga ilishinda kwa bao 1-0.

Kikosi hicho kipo tayari ugenini nchini Shelisheli na kiliondoka Dar es Salaam kupitia Nairobi, Kenya,

No comments

Powered by Blogger.