MKUU WA MKOA WA MBEYA ATOA VYETI KWA SHULE ZILIZO FANYA VIZURI
MKUU wa mkoa
wa Mbeya Amos Makala amesema
serikali inategemea kuanza kutoa
motisha kwa walimu
sambamba na
kuta chanagamoto zote zinazo
wakabiri kwa lengo la fundisha
vizuri na kuongezeka
kwa ufaulu kwa
wananfunzi.
Makalla
ametoa pongezi hizo katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mkapa Jijini
Mbeya yenye lengo la kutoa vyeti kwa shule zilizofanya vizuri pamoja na fedha
kwa wanafunzi kumi waliofanya vizuri mtihani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka
Hafla hiyo
imehudhuriwa pia na Mdau mkubwa wa maendeleo nchini Naibu Spika Tulia Ackson
kupia taasisi yake ya Tulia Trust ambapo ametoa zaidi ya shilingi milioni tano
ikiwa ni motisha kwa wanafunzi na shule zilizofanya vizuri
Akiongea kwa
niaba ya Wadau wa Elimu Mkoa wa Mbeya Ndele Mwaselela amesema wataendelea
kuchangia maendeleo ili kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa na Rais John Pombe
Magufuli
Mkoa wa
Mbeya siku za nyuma ulikukwa ni moja ya mikoa iliyokuwa nafasi za juu kielimu
lakini hivi karibuni umedorola hali iliyomfanya Mkuu wa Mkoa kukasirishwa na
hali hiyo na kuamua kupanga mkakati wa kuutoa nafasi za chini.
Post a Comment