Header Ads


TANZIA: MKE WA MZEE YUSUF 'BI CHIKU' AMEFARIKI DUNIA


DAR ES SALAAM


Kupitia Instagram yake Mtangazaji wa Clouds FM Geah Habib ameandika: >>>”Innalillah wainaillah rajuun mke mdogo wa Mzee Yusufu #Chiku amefariki dunia usiku huu alipokuwa akijifungua na mtoto amefariki taarifa zaidi tutaendelea kupeana!!” – Geah Habib.
Chiku amekutwa na mauti jana siku ya  Jumamosi June 17,2017 jioni katika hospitali ya Amana, Ilala ya jijini Dar es Salaam alipopelekwa kujifungua.
Mzee Yussuf amesema alimpeleka mkewe Hospitalini hapo jana June 17,2017 saa 10 alasiri kwa ajili ya kujifungua na kwa bahati mbaya alikutwa na mauti hayo baada ya upasuaji uliofanywa kutokwenda salama hivyo kusababisha kumpoteza mkewe na mtoto aliyezaliwa.

No comments

Powered by Blogger.